Mjadala wa Elimu umeishia wapi?

Mjadala wa Elimu umeishia wapi?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Nafikiri sote tunakumbuka vyema kuna mjadala wa Elimu uliibuka mwaka jana na ulianza kabla ya hapo ila nafikiri uliimarika mwaka jana.

Hoja kuu ilikuwa ni Elimu yetu ya sasa haimnufaishi mwanafunzi na hata mzazi au jamii ilomsomesha. Kulikuwa na makongamano kadhaa. Lile la Mlimani City na Zanzibar. Sijui kama la tatu lilifanyika maana ilibidi lifanyike DODOMA.

Hoja za msingi ni kwamba elimu yetu leo hii haina manufaa kwa msomi, yani unasoma lakini huelimiki, yani elimu ulo nayo haikutofautishi na yule ulomuacha darasa la nne au saba huku wewe ukiendelea chanja mbuga kutafuta vyeti. Mwisho wa siku unarudi mtaani huna ajira na vyeti havikusaidii.

Sina mengi ya kuandika. Tunatokaje hapa.

Na kwanini waziri kabadilishwa!?

Madarasa haya mapya yana msaada gani kwa vijana wanaokuja form one na kuona kama wamekuja dunia ya mateso na adhabu, eti kisa lugha tu.

Kwani Serikali yetu inafeli wapi?
 
Huyu Mkenda akabidhiwa trilioni 3+..


Keep the record please. Watch this video
 
Back
Top Bottom