Kwa aliyekuwa anasikiliza maongezi yenu leo katika PB ni ukweli umewekwa wazi, kwamba watoto wanaosoma katika shule za "Private' ni asilimia 1 na point tu ya wanafunzi wote wa Tanzania.
Twaweza wameshafanya tafiti na hata hakuna mwenye akili timamu ambae atapinga.
Narudia na kusisitiza kuwa "Mwenye Akili TIMAMU' Na mwenye Nia njema na mustakhabali mwema na nchi hii hatapinga Kwa yeye mwenyewe kujifanyia utafiti binafsi na wa haraka haraka Kwa kuzihesabu shule za umma zinazomzunguka jirani na anapoishi na shule za Binafsi katika eneo Hilo Hilo.
Na Kwa nyongeza akisha kuhesabu idadi ya shule hizo ajue pia kuna utofauti mkubwa wa idadi ya wanafunzi 'wanaolundikana' katika shule za umma, mfano katika darasa la umma (namaanisha chumba kimoja cha darasa) Unaweza kukuta darasa moja Lina wanafunzi adi 120 lakini Private schools ni Kama 40 Tu.
Ushauri wangu Kwa Masoud na Anastasia ni kwamba suala Hilo la Elimu lisiwe lenu peke yenu nasi tuna uchungu pia, muandae kongamano ili wananchi nasi tupate fursa kuchangia Kwa mustakhabali mwema wa nchi hii.