Mjadala wa katiba mpya; Mtikila yuko wapi?

Mjadala wa katiba mpya; Mtikila yuko wapi?

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
914
Wana JF,
Najua Mch Mtikila ni mwasisi wa mjadala wa kurudishwa kwa Serikali ya Tanganyika,lakini katika mjadala wa Muundo wa muungano ktk katiba mpya,sijamsikia Mtikila akichangia.Kulikoni?
 
Nadhani amefungwa mdomo na kale ka mkopo alikopewa na Rostam Aziz!
 
Hapana!amelipwa posho yake ya makala ile ya wanyarwanda ameamua kujificha maana PK anamtafuta sana!!awe makini asije aka m-mwaikasu!
 
Back
Top Bottom