amakyasya JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 3,480 Reaction score 914 Aug 7, 2013 #1 Wana JF, Najua Mch Mtikila ni mwasisi wa mjadala wa kurudishwa kwa Serikali ya Tanganyika,lakini katika mjadala wa Muundo wa muungano ktk katiba mpya,sijamsikia Mtikila akichangia.Kulikoni?
Wana JF, Najua Mch Mtikila ni mwasisi wa mjadala wa kurudishwa kwa Serikali ya Tanganyika,lakini katika mjadala wa Muundo wa muungano ktk katiba mpya,sijamsikia Mtikila akichangia.Kulikoni?
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,341 Reaction score 5,543 Aug 7, 2013 #2 Nadhani amefungwa mdomo na kale ka mkopo alikopewa na Rostam Aziz!
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Aug 7, 2013 #3 Hapana!amelipwa posho yake ya makala ile ya wanyarwanda ameamua kujificha maana PK anamtafuta sana!!awe makini asije aka m-mwaikasu!
Hapana!amelipwa posho yake ya makala ile ya wanyarwanda ameamua kujificha maana PK anamtafuta sana!!awe makini asije aka m-mwaikasu!
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 2,987 Reaction score 1,954 Aug 7, 2013 #4 mtikila hatabiriki, ni mtata sana
T Totokanko Member Joined Mar 16, 2013 Posts 10 Reaction score 0 Aug 7, 2013 #5 Wewe subiri utashangaa kaibukia mahakamani kudai Tanganyika