Nchi hii inaliwa na watawala kwa visingizio vingi sana. Usawa haupo kabisaaa, Wabunge wengi wa ZNZ wapo kwenye muungano na kuamua mambo ya waBara, Kuhusu kuishi bara wapo wengi sana watu toka ZNZ waliochukua maeneo ya kuishi huku Bara, Lakini Mbara haruhusiwi hat kidogo kumiliki ardhi ZNZ usaw uko wapi, Muungano una faida ya nani hapa ni CCM tu. na % yao. wale wa CDM mimi naunga mkono sana hoja zao kuhusu hili la muungano . Hii uswa wa nusu kwa nusu, inamnufaisha CCM tu na wanafiki wake. Tuamke Tulichunguze kwa umakini hili. moto umeanza kfukuta sasa. tusingoje ya Palestina na Isreal yaje kwetu hapa yalianza kidogo kidogo sasa ni mzigo mzitoooooo. AMKENI TZ MTAFUTE HAKI YENU>