Mjadala wa kibiashara

Mjadala wa kibiashara

- Cost ya vifaranga
- Cost ya mabanda (materials + fundi)
- Cost ya madawa
- Cost ya chanjo
- Cost ya chakula (kama unatengeneza mwenyewe au utanunua dukani)
- Cost ya vifaa (Drinkers, feeders & cages)
- Cost ya Dr kuhudumia for some special cases.
- Cost ya mfanyakazi wa kuhudumia
- Cost ya security (Hii si lazima sana)
- Cost ya nishati (umeme)
Nmejaribu costs kadhaa, sina uzoefu wakufuga!.
 
Anza kidogo mkuu utajifunza mengi na gharama utakua unazijua kidogo kidogo

Anyway nafunga kuku wa kienyeji nilianza na wa 5 walinisumbua ila saizi washafika wengi na at least gharama nazimudu na nazifahamu pia nimejifunza mengi usifuge kwa simu mkuu ingia field utajifunza mengi
 
"....usifuge kwa simu mkuu, ingia field...."

Nimependa umaliziaji wako tu, safi sana.

Back
Top Bottom