Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya chini ya uratibu wa asasi ya vijana TYVA unaendelea

Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya chini ya uratibu wa asasi ya vijana TYVA unaendelea

HomeSweetHome

Member
Joined
Dec 18, 2010
Posts
45
Reaction score
9
Vijana mbalimbali kutoka asasi za vijana, shule za sekondari, wajariamali, vyuo vya elimu ya juu na vijana wa makundi mbalimbali wapo katika Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya hapa katika ukumbi wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni. Nikipata nakala ya mada iliyowasilishwa nitaituma hapa.Karibuni wadau
 
Nina bahati mbaya sana niko safarini na ninasikia kwenye gari pasipo usikivu mzuri. Kuna mtu anawezajua marudio hasa katika redio na/au TV ni lini na saa ngapi?
 
Bado siku chache watanzania wataingia barabarani,hali siyo shwari!
 
Back
Top Bottom