Mjali sana baba yako au mama yako hata kama alikukimbia

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu.

Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio kidogo tu una muita baba yako sperm donor na wakati mwingine muwe mnauliza mama zenu sababu za baba zenu kukimbia pengine mama zenu ndo chanzo.

Nawashauri wazee wenzangu mtoto akikupiga chini na wewe mpige chini tu. Alafu muachie Mungu, Na yeye watoto wake watamtupa chini hatakama aliwajali na kuwathamini.

Always ubaya hujirudia. Samehe ili na wewe usamehewe. Ndo maisha yalivyo.
 
Kwa mwandiko huo ndugu yangu kama hata Daslama umefika nitashangaa sana...
 
jino kwa jino huwezi otesha mbegu shambani utegemee istawi bila kumwagilia maji au keweka mbolea sahau ukipanda mbegu itunze ili istawi vema ije ikupe mazo bora sio utegemee mazao bora pasipo kutunza haitoshi tu kumwaga mbegu shambani then uende alafu utegemee siku mmoja urudi ukavune unavuna nini ikiwa hujaitunza
 
Hahahaahaaa

Pesa yako Ni ndogo Sana kuliko uhai aliokupa!
 
Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu.

Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio kidogo tu una muita baba yako sperm donor na wakati mwingine muwe mnauliza mama zenu sababu za baba zenu kukimbia pengine mama zenu ndo chanzo.

Nawashauri wazee wenzangu mtoto akikupiga chini na wewe mpige chini tu. Alafu muachie Mungu, Na yeye watoto wake watamtupa chini hatakama aliwajali na kuwathamini.

Always ubaya hujirudia. Samehe ili na wewe usamehewe. Ndo maisha yalivyo.
Unaongelea nini hasa? Unatoa ushauri Kwa watoto wasiwaache baba zao, hapo hapo unashauri Baba wawapige chini watoto! Ujue mtoto hawezi kumpiga chini baba, kama Baba hakumpiga chini mtoto tangu mwanzo. Sasa kama ni ujinga si wa mtoto bali wa wazazi wote wawili. Kutoa na kupokea mbegu sio mwisho wa majukumu hasa wa malezi ya kiumbe mlichokileta duniani.
 
Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu.

Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio kidogo tu una muita baba yako sperm donor na wakati mwingine muwe mnauliza mama zenu sababu za baba zenu kukimbia pengine mama zenu ndo chanzo.

Nawashauri wazee wenzangu mtoto akikupiga chini na wewe mpige chini tu. Alafu muachie Mungu, Na yeye watoto wake watamtupa chini hatakama aliwajali na kuwathamini.

Always ubaya hujirudia. Samehe ili na wewe usamehewe. Ndo maisha yalivyo.
Wababa tunzeni watoto wenu kwanza ili wawatunze[emoji23]...unamtelekeza mama na mtoto unaenda kula bata alafu jua likizama unarudisha p*mbu zimelegea hapa na we utatelekezwa tu...swine
 
Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu.

Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio kidogo tu una muita baba yako sperm donor na wakati mwingine muwe mnauliza mama zenu sababu za baba zenu kukimbia pengine mama zenu ndo chanzo.

Nawashauri wazee wenzangu mtoto akikupiga chini na wewe mpige chini tu. Alafu muachie Mungu, Na yeye watoto wake watamtupa chini hatakama aliwajali na kuwathamini.

Always ubaya hujirudia. Samehe ili na wewe usamehewe. Ndo maisha yalivyo.
Kafuate watoto wako brother, acha kulalamika lalamika, ukizaa usitelekeze full stop!
 
Back
Top Bottom