Aisee hyo hali inahitaji utabibu kwa haraka iwezekanavyo ili kuokoa maisha ya mtoto ,hyo inaweza ikawa inasababishwa na aidha 1.chronic P.I.D ambayo alikuwa nayo hata kabla ya ujauzito
2.Threatened abortion -inawezekana mimba inataka kuji-abort
Au 3.Cervical incompetence-inawezekana yuko kwenye risk kubwa ya shingo ya kizazi inataka kufunguka
Mwisho kabisa namaliza kwa kutoa elimu kuwa kufanya mapenzi wakati wa ujauzito sio vibaya kama ujauzito uko tu vizuri kama baadhi ya watu wanavyofikiri hata wengne umewaona jinsi walivyochangia Thread hpo juu na nakushauri mkafanye ultrasound haraka iwezekanavyo kujua status ya cervix na mtoto(fetus Òr embryo) kiujumla
Sent from my BlackBerry 9300 rusing JamiiForums