Mjamzito anaruhusiwa kufanya tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
4,700
Reaction score
1,087
Habari wana-JF

Naomba kuuliza JF Doctor Mwanamke mwenye ujauzito kuanzia miezi mitano anashauriwa kufanya ngono mara ngapi kwa wiki na kwa staili gani? akifanya mara nyingi kuna madhara? kwa nini akiwa mjamzito anatamani sana hii kitu?

Karibuni!!!
 
Ujauzito sio ugonjwa. Mjamzito anaruhusiwa kufanyi vitu vyote kama mtu mwingine iwapo mwili wake unamudu.
 
  • Pigia mstari hili jibu la ndugu ZeMarcopolo .
    Ujauzito sio ugonjwa. Mjamzito anaruhusiwa kufanyi vitu vyote kama mtu mwingine iwapo mwili wake unamudu.
 
Last edited by a moderator:
Mara zote ambazo mtu atatamani kufanya, pia ni vizuri kuepuka kukandamiza tumbo wakati wa ufanyaji!
 
Habari wana-JF

Naomba kuuliza JF Doctor Mwanamke mwenye ujauzito kuanzia miezi mitano anashauriwa kufanya ngono mara ngapi kwa wiki na kwa staili gani? akifanya mara nyingi kuna madhara? kwa nini akiwa mjamzito anatamani sana hii kitu?

Karibuni!!!

""Mimi sijui lakin kwa uzoefu wangu nilimwachia mama wawili siku 3 kabla hajaenda Leba.....nina rafiki daktari daima alikuwa ananiambia " Njia usipopitapita uota nyasi"

we kaamua but daima kuwa fairplay game sio mechi kama Uruguai.....
 
Back
Top Bottom