Kwani kuna tatizo gani....mtu anaendelea kujisevia mpaka mwisho, tena ni tamu kweli
Habari wana-JF
Naomba kuuliza JF Doctor Mwanamke mwenye ujauzito kuanzia miezi mitano anashauriwa kufanya ngono mara ngapi kwa wiki na kwa staili gani? akifanya mara nyingi kuna madhara? kwa nini akiwa mjamzito anatamani sana hii kitu?
Karibuni!!!
Ujauzito sio ugonjwa. Mjamzito anaruhusiwa kufanyi vitu vyote kama mtu mwingine iwapo mwili wake unamudu.
ya motoooooo

ya moto nini ?