Mjamzito kujifungua kabla ya miezi 9

April Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2019
Posts
244
Reaction score
1,224
Msaada kwenye tuta

Mke wangu amebakiza wiki 2 tu kufiisha miezi tisa ya ujauzito wake but sikuya pili leo tumbo limemsumbua sana nimefikisha hospital wanasema njia inafunguka

Je, inawezekana akajifungua ikiwa uja uzito una umri huo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida sana Chief,huyo wala hatapata tatizo lolote,makadilio ya kujifungua huwa wiki mbili kabla au baada,hakuna siku ambayo ni rasmi,....mimi mke wangu alifanyiwa upasuaji mtoto akiwa na miezi saba,na mpaka sasa ana survive na afya tele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana.Ndio maana kuna njiti.
Hongereni, naimani atajifungua salama.
 
Kwani hawakupima kuona kichwa kiko wapi? Hakikisha hospitali iwe na uwezo wa caesarian facilities. Ndiyomaana nilisema ajifungulie hospitali. Midwife anajua kuangalia kama mtoto ame breech.
Dada sky hizi terminologies unatutesa ujue ...
 
Mke wangu ujauzito wake umetimiza miezi tisa na siku mbili sasa ila hajisikii uchungu hii imekaaje,na nn tunaweza Fanya?
 
Mke wangu ujauzito wake umetimiza miezi tisa na siku mbili sasa ila hajisikii uchungu hii imekaaje,na nn tunaweza Fanya?
Mkuu usishtuke,miye wife alifika mpk miezi 10 no uchungu,lkn alikuwa chini ya uangalizi wa daktari,lastly kuna dawa alipewa ya kuanzisha uchungu haikuchukuwa dk 10 alijifungua.
**Warning**
Bado anatakiwa kufuata ushauri wa daktari na kuudhuria clinic kama atakavyoshauriwa.
 
Sawa ndugu,Asante sana kwa kunipa moyo
 
Hesabu ya mimba hua inaenda kwa wiki,Haipungui wiki 36 haizidi wiki 40. Ingawa chochote kinaweza kutokea kuanzia wiki ya 32
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…