Mjamzito kulala na mtoto chini ya mwaka mmoja ni tatizo?

Mjamzito kulala na mtoto chini ya mwaka mmoja ni tatizo?

Joined
Jun 26, 2009
Posts
67
Reaction score
11
Jamani wanajf wenzangu naomba mnisaidie kuhusu hili swala ambalo binafsi linantatiza sana. Huku kwetu imeenea na inaaminika kua mama mjamzito akimnyonyesha na hata kulala na mtoto wake mdogo basi atamsabibishia afya mbovu na hata kutokukua, je kuna ukweli kwenye hili?
 
Last edited:
Back
Top Bottom