1. ni maji au uchafu? angalie vizuri, pika kama vina harufu mbaya au kuwasha washa ni kwenda hospitali tu. Pia usafi hayo maeneo.Habar wana JF naomba kujua Mama mjamzito wa Mimba Changa kutokwa na Maji yenye Rangi kama njano..hiyo inaashiria Nini?
Swali la Pili ! .....Nina Rafiki yangu mke wake Ni mjamzito, ambae alikadiria mwezi huu angekuwa na amefikisha miezi mitatu..lkn cha ajabu juzi kaenda kupima tena ujauzito unaonesha una wiki 4, hapo tatizo Nini?