Mjamzito kuumwa kiuno inasababishwa na nini na matibabu yake, Naombeni msaada please?

Joined
Aug 3, 2012
Posts
20
Reaction score
3
Nina mchumba wangu mjamzito wa miezi mitano anasumbuliwa sana na kiuno sijui chanzo nn coz hata kazi ngumu hafanyi yupo tu nyumbani, any msaada please?
 
Mimba ya twins ya mwezi tu au hata wiki tatu unaanza kuumwa kiuno kama cha periods, unaweza sema utableed, itadumu kama kwa wiki 3 au mwezi then inapotea, ingekuwa ya umri huo ningekwambia mpeleke akafanye ultra sound yaweza kuwa ni pregnancy ya twins,

Niliumwa hivyo wakati mimba haikuwa hata na mwezi, nilipofanya ultra sound ndio kugundua kuwa ni ya twins, na wamama wengi wenye twins watakubaliana na mimi hapa! ila si neno, mpeleke kwa dr, utajua tatizo, nawatakia kila lililo la heri, tk cr of her, she needs u now than never before!
 
Thanks mdadaa kwa ushauri wako mzuuri!!!Halafu sisi kwetu tuna kawaida ya kuwa na matwins!!!
 
...Mhhhh! Haya bana...mimi nilikuwa silijui hili 🙂 lakini ni ushauri mzuri sana kwa muanzisha thread.

Kiuno kinauma kwa sababu nyonga ilizoea ku-support uzito mdogo kuliko iliopo. Kwa hiyo ni kama kulemewa tu. Pole sana, mpe support itapita.

Ila ukifunga nae ndoa kinaweza kupona,lol
 
Kiuno kinauma kwa sababu nyonga ilizoea ku-support uzito mdogo kuliko iliopo. Kwa hiyo ni kama kulemewa tu. Pole sana, mpe support itapita.

Ila ukifunga nae ndoa kinaweza kupona,lol

Duh, asante King'asiti hata GF wangu kiuno hua analalamika kinauma kwa sababu uzito unaongezeka na kiuno kinashindwa ku support?

Lakini ni GF tu hana mimba na suala la sex kwetu halipo
 
Kama ameongezeka weight hivi karibuni (by 10% is bad enough)shauri ya kupendwa sana na wewe hii inaweza kuwa sababu. Otherwise atahitaji kuonana na daktari wa mifupa, pengine kuna tatizo lililoko serious.

(Au labda nae kiuno chake kina hamu na harusi, try that anaweza kukushangaza hehehe! )
duh, asante King'asiti hata GF wangu kiuno hua analalamika kinauma kwa sababu uzito unaongezeka na kiuno kinashindwa ku support? Lakini ni GF tu hana mimba na suala la sex kwetu halipo
 
Afantee bibi. Nna hamu ya kushonesha sare ya harusi, naskia manzese toka barabara ibomolewe vitambaa vya magauni vimeshuka bei.
marahaba mjukuu....
nimeupenda ushauri wako... umejaa ukweli mwingi ndani yake
 

ngoja nimshitue sasa hivi, thanks for the info
 
Haina neno ni uzito tu wa mtoto,na mwili haukuzoea kubeba mzigo.Hongera you will be a good husband like my husband,yuko very concern na issue za familia,very caring husband,i will love u my hubby till i die,kaka mpende sana mkeo,tunapenda kweli kujaliwa.Barikiwa na Mungu wetu alie hai,ila ndoa muhimu eeh!!!
 

nilijua weye mwanaume kumbe ni she, loh!
 
Thanks for ur ushauri mzuri,definitely i do care and luv her so much!!!!!Suala la ndoa ndio lipo njiani inshaallah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…