Mjamzito mimba miezi 8 na siku20 anavimba mwili na damu pungufu

Mjamzito mimba miezi 8 na siku20 anavimba mwili na damu pungufu

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu ushauri wenu..mke wangu ana ujauzito wa miezi 8 na siku20 majuzi kaenda kaenda clinic ktk hospital ya mission ya wakatoliki kuangaliwa Hali yake...kapimwa ultra sound mtoto Yuko sawa natayar kupimwa damu Iko kidogo akaandikwa dawa..ila Sasa changamoto ya hii hospital ni wakat wakujifungua huwa wanakauzembe sana
 
Umeshajua hiyo hospital wana kauzembe unataka kuambiwa nini zaidi ya kuzichanga au kukopa umpeleke mkeo Agha Khan
 
Hama hospital bro na azingatie lishe vizuri vyakula vya kuongeza damu, kwa kua kashafika miezi 8 tende nzuri pia, mama tembele linapanda itasaidia ku boost huku ukiendelea na dawa... ila badilli hospital kingine salini kwa imani yenu pia.
 
Back
Top Bottom