Mjamzito na dawa ya powercef, au rocephin,au cwdriaxon.

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Wana jf wanaojua nina rafiki yangu ana ka ujauzito ka wiki 3 hata mwezi hakana, ila ana u.t.i sasa doctor kamwandikua powercef 1 gram od. Yan kila siku achome sindano ya gram moja kwa siku tano, je dawa hiyo haina mashara kwa huyu mjamzito mwenye mimba ya umri huo.
 
Mjamzito yeyote anatakiwa kutibiwa na dr wa wanawake. Inabidi aende kwa dr, amueleze yeye ni mjamzito na ana uti. Halafu siku hizi kila kitu kinatibiwa na power safe? Kuna mama alikuwa na malaria akaandikiwa power safe injections nikashangaa. Sijui ni biashara?
 
Sema doctor shusha nondo bana
 
Back
Top Bottom