Wana jf wanaojua nina rafiki yangu ana ka ujauzito ka wiki 3 hata mwezi hakana, ila ana u.t.i sasa doctor kamwandikua powercef 1 gram od. Yan kila siku achome sindano ya gram moja kwa siku tano, je dawa hiyo haina mashara kwa huyu mjamzito mwenye mimba ya umri huo.