Mjamzito: Najigeuzageuza sana usiku

lucz

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
218
Reaction score
41
Habari JF.

Mimi ni mama mjamzito mimba imeshaanza mwezi wa nne. Tatizo langu kubwa usiku ninajigeuza sana mpaka naogopa.

Naomba mnisaidie ni hali ya kawaida au nitakuwa nina tatizo.

Nitashukuru kwa msaada wenu.

 
kwa experience ya mke wangu alipokuwa mjamzito alikuwa anageuka geuka mpaka naogopa yaani alikuwa hana pozi la kulala kabisaa. kwahiyo i think ni hali ya kawaida.
 
hata mm naomba nijibiwe nipo kama ww usiku kucha silali nikujigeuza,mbaya zaidi najikuta nmelalia tumbo miezi 4 na mm wataalam tusaidieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…