Mjamzito

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
144
Reaction score
31
Wadau naomba kujuzwa, kuna hali ambayo sijaielewa vizuri kwamba kuna mdada ana ujauzito wa wiki ya nane inaenda sasa ila kila wakati labda kwa siku inaweza kumtokea kama mara 4 au 5 ni hali ya tumbo lake kuuma na kuacha, linaweza kuumwa ghafla kama dakika moja au mbili kisha linapoa, hii huweza kumtokea kwa siku kama mara 4 au 5.

Hii ni hali/ugonjwa gani tafadhali naomba kujuzwa
 
acha uzembe,nenda kamuone daktari usipende kuishi kwa mazoea.
 
Duuh nilitaka kujua kabla ya kumshauri aende hospitali .....
 

Hii inaitwa Braxton Hicks ni kawaida na ataendelea kuzisikia hizo contractions hadi kipindi cha pili cha ujauzito (second tremester)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…