Anatakiwa awasilishe nyaraka na barua za mahakamani zinazomtambua kama mrithi wa mirathi ya mwanaume wake.
Swali la kizushi anapokufa mwanamke huwa kunakuwa na mjadala wa mirathi ya mali za mke?!
Swala sio mchango. Tuseme mimi nimekutana na binti ana nyumba tayari tukafunga ndoa tukajenga yetu ile yake tukapangisha.... Au tukapangisha yetu tukaenda kukaa yake, je hapo imekaaje kwenye swala la mirathi?!Mjadala utakuwepo kutegemea na mchango wa mke katika ndoa husika.