Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
huo wote mchezo wa kagame kutaka kulipiza visasi siku zote,yule mama alishapewa hifadhi ya kikimbizi france,then hawa wakamuundia makosa kwamba alifahamu mipango ya mumewe kuuwawa,embu fikiria kafutiwa misaada yote aliyokuwa kapewa france,na mwisho amekamatwa,mambo mengine ni ya kuona huruma tu,huyu jamaa anachokifanya hapo rwanda anakijua mwenyewe,mpaka sasa muhutu yeyote rwanda anaonekana muhalifu tu,haya sasa mpaka majenerali wake wa jeshi wameanza kumkimbia,achilia mbali maofisa wengine kibao waliotoroka na kukimbilia mafichoni,historia ya idd amin inajirudia hapo kwa wenzetu,ni hivyo tu mambo yanapigwa chini kwa chini,na muda yakija fyatuka tena,sijui nani ataamulia.mjane wa marehemu habyarimana ageukwa na maswahiba wa mumewe. kwa maelezo zaidi soma hapa chini
http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2010/03/100302_habyarimana.shtml
hii ipo africa tu ndugu yangu ukizingatia kesi yenyewe ya kuundwa tu.Ni jambo la kawaida,majane kugeukwa na ndugu na hata marafiki...Ndio dunia ilivyo hata katika siasa ndio usiseme.
Iko duniani kote asikudanganye mtu.hii ipo africa tu ndugu yangu ukizingatia kesi yenyewe ya kuundwa tu.
ndio ukweli wenyewe na yote niyeye atasababisha,we fikiria general in comand kayumbanyamwasa ijumaa katoroka na mpaka sasa hawajui alipo na serikali imeidhinisha msako wake na kwamba ana serious kesi ya kujibu,wakati siku zote ilikua kimya mpaka ijumaa mwisho wa kikao cha ma diplomat wote rwanda ndio jamaa katoroka usiku,sasa kama hakuotea kwamba kuna mtego kawekewa ni nini?Kaka Kagame anataka kuwa rais wa maisha wa rwanda kwa gharama za raia wa kawaida. Unajua kuwa anawatoa maafisa wa kijeshi wa kabla la KIHUTU? Rwanda ni kama uji tu, juu umepoa ilhali chini kuna moto mkali unaoshubiri kulipuka. Mauaji mapya kutokea ni suala la muda tu.
ndugu yangu mwisho wake si mbali maana jamaa anavyowafanyia ubaya hiyo kabila ingine inauma sana,muhutu yeyote akiwa na mafanikio kidogo hata awe wapi duniani order inamfuata nyuma kwamba ni mshiriki wa mauaji,hivyo hata hapo kwao wahutu hawana haki yoyote na wanaogopa hata kulalamika,kwanza kigali kwenyewe wahutu wanaenda kwamashakamashaka maana wanaitwa wauaji na hawatakiwi hata kuonekana,angalia sasa wafaransa walivyo wanafki,mwanzo walipitisha order ya maafisa wa juu wa serikali ya kagame tisa kukamatwa,hata yeye mwenyewe kagame alikuwemo humo,eti sasa hivi wanamkamata huyu mama,huyu mama mumewe kauliwa massacre imeanza yeye wafaransa wamemu evacuate siku ya tatu tu,na toka hapo hajakanyaga tena rwanda sasa kaundiwa mashtaka kwamba alishiriki kuandaa listi ya mauaji,inauma sananiliwahi kusema kwamba wanao msifia kagame hawamjui. Ni dikteta hakuna mfano kuliko hata mseveni, lakini ninavyojua serikali ya kitusi rwanda inaelekea ukingoni.
Kwanza watangazaji wengi wa BBC toka Rwanda ni Watutsi? unategemea wataandika na kutangaza nini?mjane wa marehemu habyarimana ageukwa na maswahiba wa mumewe. kwa maelezo zaidi soma hapa chini
http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2010/03/100302_habyarimana.shtml
asa RPF si ndio wako madarakani mda huu,hiyo kabila ingine inaipata fresh,lakini kwa mwendo huo kagame hafiki mbali,vita itakayofuata hapo itakua mbaya zaidi,na ndio maana kwa woga wake mda wote akijua kuna msomi mhutu mahali popote duniani anatuma arrest warrant kwamba huyo ni genocidaire anatafutwa arudishwe rwanda.hivi wanaoshtakiwa huko Rwanda ni wahutu tu? Sijawahi sikia mtutsi kahitakiwa ina maana ndo waliochinja tu mbona hata waliochinjwa wapo wahutu hata waliokuwa na msimamo mkali? Na haya mauaji ya Habyalimana yalifanywa na nani? Kama ni RPF mbona walikuwa watutsi hao? Kukamatwa kwake ni changa la macho tu!