Mjane wa miaka 33 na watoto wa 2 anatafuta mwenzi wa maisha!

Mjane wa miaka 33 na watoto wa 2 anatafuta mwenzi wa maisha!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
mimi ni mama wa miaka 33 natafuta mwenza wa kuishi nae, nini watoto wa2 ninaishi pekeyengu kwa miaka 9 sasa.mume wangu alifariki kwa ajali ya basi wakati anakuja kuniangalia nilipojifungua mtoto wangu wa mwisho.mwaka 2001.

tangia mume wangu amefariki nimejitahadikuvumilia lakini nahisi upeke unanizidia.
sasa nimeona nitafute mtu ambaye tutaweza kuyaendesha maisha haya yaliyo baki

mimi nimeajiliwa kwaiyo nina mudu maisha yangu na watoto wangu. kwa ujumla,ninahitaji mwnaume mwenye watoto pia awe mkweli,mwenye upendo na anayejali watoto na anaya jiheshim umri wake awe 35-45,awe na watoto na awe mkristo.

kwa mawasiliano na mimi enesymarcel@ymail.com

Tafadhali hii ni kwa yule aliya siriaus na jambo hili.
Source
 
colloquial hiyo ndugu yangu... ningesema wapo wengi kingeniwakia humu jamvini mazee
 
Mwambie akamuliwaze yule anayegombania mke wa slaa na kwenda mahakamani wakati wanawake wengi
 
Back
Top Bottom