Mjasiliamali Karibu tuungane, tujikomboe kimaisha

Mjasiliamali Karibu tuungane, tujikomboe kimaisha

Respect

Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
28
Reaction score
0
Wewe ni mjasilia mali wa kweli??
Kuna bidhaa nimeianzisha (new product), tayari iko sokoni kwa majaribio na imeanza kufanya vizuri tu, sasa inahitaji nguvu nzito kidogo, peke yangu itachukua muda mrefu kusimama; HIVYO NAFUTA 'PATNA' wa kibiashara.

*Imesajiliwa, na inatengenezwa na mtaalam anayetambulika na vyombo husika amabae ni mimi mwenyewe.
*Ni biashara utakayofanya kwa maisha yako yoote na kuwarisisha wanao..
*Nafasi ya kukua na kuwa ya kimataifa ni kubwa sana ni juhudi za kweli tu zina hitajika...
*soko la nchini ni kubwa mno, nakuhakikishia hatutaweza kulimaliza!
*Haihitaji running capital mkuuubwa sanaa, ila inahitaji uaminifu wa hali ya juu..
*Mitambo na mashine zote zipo kamili na ziaendelea na kazi.
*Makubaliano ya biashara yatafanyika mbele ya mwanasheria na mashahidi wengine tutakaoona wanafaa..ili kuondoa 'Utapeli'.

Mwisho; nakuhakikishia, siyo biashara ya kubahatisha! njoo tuzungumze.......

0773 244254
**********

Huu ni mwanzo tu .......
 
Weka jamvini kama umedhamiria na si kama DECI. Otherwise hili tundiko halina maana kabisa hapa ungelitundika google au kufungua website ya hiyo product. Au imekaaje wanJF
 
Asante sana ndugu kwa ombi lako, nadhani ingekuwa vizuri kuweka mambo wazi ili mtu aelewe. Mimi niko tayari kuwa partna lakini nivizuri nielewe ni nini hasa unachofanya. Unaweza kunidokezea kwenye pm!.
 
Wapi Malila, wapi Mbu na mtaji wa 10m?

Mkuu Respect takuunganisha na jamaa yangu mjasiriamali mzuri tu mkielewani mpige dili....! Nashauri watu walio serious jamaa keshaweka number yake hapo...mpigie kimyakimya akupe details zaidi.....si busara kumwaga kila kitu hapa for Business reasons (kwa maoni yangu), manake wabongo tunakuwa wajanja kama wachina vile....utasikia product ya Respect tayari inatengenezwa Arusha n.k
 
Wakuu,

Mauzo ya aina YOYOTE kati ya mwanachama na mwanachama au kati ya yeyote aliyesoma tangazo la mauzo hapa JF na muuzaji kama hayatapitia kwetu kama uongozi wa JF hatutakubali lawama.

Tangazo lolote ambalo limeidhinishwa litawekwa na Maxence, Admin, PainKiller, Silencer, Invisible au Farida.

Tofauti na watajwa juu eleweni kuwa ni kuchukua risks katika kununua mali ya aina yoyote.

Uongozi wa JF upo katika mchakato wa mwisho kumalizia ofisi rasmi kwa ajili ya wauzao na wanunuao ambapo matangazo yatatangazwa rasmi na uongozi baada ya kuwasiliana na wenye mali husika.

Ni angalizo muhimu kwa wakati huu, iweni macho!
 
Asante mkuu kwa hilo,

Mie ni mjasiliamali, risk ni sehemu ya maisha yangu ingawa nakuwa muangalifu hadi mlango wangu wa sita wa fahamu ili nisipate matatizo au nisimsababishie mwingine matatizo.

Amini usiamini niliposema na watu wengine mashahidi watakuwepo, nilikuwa namaana watu wa JF kwa100% sema tu sikutaka kuweka wazi kwa sasa.

'There fore' wapendwa zoezi liko pale pale ila linabadilisha muelekeo. nitawasiliana na Mkurugenzi Maxence kwa maelekezo zaidi.
Kufuata taratibu ni kitu kizuri sana katika ulimwengu wa biashara za kudumu!
Sorry kwa kuvamia nyumba ya watu kwa pupa!!

**********************************
 
Wapi Malila, wapi Mbu na mtaji wa 10m?

Mkuu Respect takuunganisha na jamaa yangu mjasiriamali mzuri tu mkielewani mpige dili....! Nashauri watu walio serious jamaa keshaweka number yake hapo...mpigie kimyakimya akupe details zaidi.....si busara kumwaga kila kitu hapa for Business reasons (kwa maoni yangu), manake wabongo tunakuwa wajanja kama wachina vile....utasikia product ya Respect tayari inatengenezwa Arusha n.k

Mkuu mimi nipo tele. Nimemsoma tangu juzi aliposema anaomba kuingia jf. Nikampiga swali moja muhimu akachomoa kwa ahadi ya kuonana baadae,nadhani ndio leo.

Mkuu uliniahidi kukutana Kilolo,vp umechemsha?
 
Back
Top Bottom