Habari wana JF...
Leo tengeneza tomato source.
MALIGHAFI
1.NYANYA ZILIZOIVA VIZURI KILO MOJA NA NUSU (SIO MASARO)
2.VITUNGUU MAJI 3 (VIKUBWA KIASI)
3.MAFUTA YA KUPIKIA VIJIKO 6 VYA CHAKULA
4.SUKARI VIJIKO 2 VYA CHAI
5.CITRIC ACID KIJIKO KIMOJA CHA CHAI
6.VINEGAR VIJIKO 2 VYA CHAI
JINSI YA KUTENGENEZA
Changanya malighafi zote kasori mafuta kwenye chombo safi alafu saga kwa kutumia blender hadi iwe laini.
Injika sufuria jikoni kisha weka mafuta vijiko 6, yakichemka weka mchanganyiko wako koroga upande mmoja kwa dakika 15. Kisha epua weka kwenye chombo safi ipoe.
Waweza fungasha kwa kuuza au kwa matumizi binafsi.
ANGALIZO
Ni muhimu sana kukoroga upande mmoja ili kupata Tomato source nzuri.
NEXT
-UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU
-UTENGENEZAJI WA SABUNI YA KUNAWIA
NAPOKEA SUGGESTIONS PIA
Asante....
-Queen Chagga.