Mjasiriamali wa kuunda kutengeneza manati anatafutwa?

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Ukiwa Mbeya ni sifa ya nyongeza 🤝 lakini popote tutazungumza tu.

Kuna malighafi ya kuundia manati mipira bora kabisa inatafuta mjasiriamali.

Acha kutumia iliyotumika kwanza ni hatari kiafya. Hizi hapa tekenya zimeisha muda wake badala ya kuzichoma hebu tufanye upcycle.
Screenshot_20241004-110415_Gallery.jpg
 
Hizo gloves ndio hiyo malighafi ya kutengenezea manati?
 
Ukiwa Mbeya ni sifa ya nyongeza 🤝 lakini popote tutazungumza tu.

Kuna malighafi ya kuundia manati mipira bora kabisa inatafuta mjasiriamali.

Acha kutumia iliyotumika kwanza ni hatari kiafya. Hizi hapa tekenya zimeisha muda wake badala ya kuzichoma hebu tufanye upcycle.
View attachment 3114883
Tafuta members walioweka Profile picture ya Madenge
 
Ni tekenya sio gloves.

Ila mbona kama imenitisha naiondoa, sheria za kumiliki manati zipoje Tz??

Isije kuwa levo ya bastola 😄😄
 
Back
Top Bottom