E Eberhard JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,153 Reaction score 809 Dec 25, 2013 #1 Wakuu naomba tupendekeze majina matatu ambayo ambayo badaye tutawashindanisha na kupata mjasirimamali wa mwaka 2013 wa jamii forum
Wakuu naomba tupendekeze majina matatu ambayo ambayo badaye tutawashindanisha na kupata mjasirimamali wa mwaka 2013 wa jamii forum
E Eberhard JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,153 Reaction score 809 Dec 25, 2013 Thread starter #2 Tunasubiri majina tuyaweke kwenye pool
C cha' JF-Expert Member Joined Jun 22, 2013 Posts 466 Reaction score 114 Dec 25, 2013 #3 Kubota malila mama joe
E Eberhard JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,153 Reaction score 809 Dec 26, 2013 Thread starter #4 okay. Na mimi nakubali tuwashindanishe hao watu watatu. kwa maana ya Kubota malila mama joe