Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
NEXT TO YOU.front seat.
Msiishi kwa ajili ya watu wengine, ishini kwa ajili ya Mwenyezi Mungu aliyewaumba.Habari.
Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.
Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.
Umri umefika tumejikuta tuna wake ,watoto na kazi au vitu vya kawaida ambavyo hatukuwa na mipango navyo labda tuseme tunaona tumefeli .
Tuliwaza kumiliki Nyumba Kali,Gari nzuri ,kuwa na kazi yenye mshahara wa kutosheleza mahitaji maishani na ndugu lakini haijawa hivyo.
Kwa wazoefu wa maisha.
Tunaomba mtushauri kitu gani cha ziada tufanye hili tuweze kufikia lengo la maisha wakuu
Mada Nzuri mno.Habari.
Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40.
Ni kujitahidi kwa dhati kuishi katika uhalisia wa wakati husika.Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi.
Somo kubwa jingine ambalo Maisha utufundisha kila siku ni kwamba, kilichopo ndani lazima kitaonyesha matokeo nje.Umri umefika tumejikuta tuna wake ,watoto na kazi au vitu vya kawaida ambavyo hatukuwa na mipango navyo labda tuseme tunaona tumefeli .
Bado muda upo, kila sekunde ni nafasi ya uhai mpya kupitia pumzi mpya. Lolote linawezekana.Tuliwaza kumiliki Nyumba Kali,Gari nzuri ,kuwa na kazi yenye mshahara wa kutosheleza mahitaji maishani na ndugu lakini haijawa hivyo.
Tumeumbwa kwa ukamilifu uliotimia katika Utulivu.Kwa wazoefu wa maisha.
Tunaomba mtushauri kitu gani cha ziada tufanye hili tuweze kufikia lengo la maisha wakuu
Naichukua hii mkuu kwa kabisa.USIOE