Mje tujadili mateso tunayopatiwa na wake zetu na jinsi ya kuyaepuka

Mje tujadili mateso tunayopatiwa na wake zetu na jinsi ya kuyaepuka

MusuKuma

Member
Joined
Jan 30, 2021
Posts
33
Reaction score
87
Habari wandugu, bila shaka asilimia kubwa ya watu waliomo humu ni wanaume.

Hebu mje tujadili mateso tunayopatiwa na wake zetu na jinsi ya kuyaepuka.
 
Habari wandugu, bila shaka asilimia kubwa ya watu waliomo humu niwanaume.

Hebu mje tujadiri mateso tunayopatiwa na wake zetu na jinsi ya kuyaepuka.
Anza kuandika mateso unayofanyiwa wewe, usione aibu utakoleza soga. Usijadili ya ndugu au Jirani yako.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Nakuambia tu. Mapenzi hayahitaji upole yani kiumbe mwanamke ishi nacho kwa busara na upendo ila usiwe mpole kama zoba na usimzoeshe. Ukilegeza tu atakuzidi nguvu ya kila kitu mpaka mshahara/mapato utakua unampelekea ili akupe matumizi.

Narudia mapenzi hayahitaji upole....
 
Kunogesha uzi ilitakiwa ulete mkasa wako alafu sasa ungeona wakulungwa ambavyo wangetiririka
 
Back
Top Bottom