Mjegeje ni nini?

Mjegeje ni nini?

iriemihi

New Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Samahani nina swali kuhusu neno mjegeje. Nimesoma neno mjegeje lakini sijajua na sijaelewa maana yake. Nimegoogle na sijapata kamusi inaonyesha neno hii. Neno hii ni neno ya slang au kwa nini neno hii si ndani ya kamusi?
 
Lugha hukua kama kitu kingine. Sio kila neno litapata fursa ya attention na hadi kuwekwa kwenye kamusi.

Mjegeje ni Uume wa mwanaume. Asante.
 
Mjegeje ni BUNDUKI Ulikuwa ni kama msimu kipindi filamu za kimarekani zinatazamwa sana Tanzania.Mfano filamu za Rambo na Anord.
 
Back
Top Bottom