I iriemihi New Member Joined Nov 11, 2016 Posts 1 Reaction score 0 May 24, 2018 #1 Samahani nina swali kuhusu neno mjegeje. Nimesoma neno mjegeje lakini sijajua na sijaelewa maana yake. Nimegoogle na sijapata kamusi inaonyesha neno hii. Neno hii ni neno ya slang au kwa nini neno hii si ndani ya kamusi?
Samahani nina swali kuhusu neno mjegeje. Nimesoma neno mjegeje lakini sijajua na sijaelewa maana yake. Nimegoogle na sijapata kamusi inaonyesha neno hii. Neno hii ni neno ya slang au kwa nini neno hii si ndani ya kamusi?
Gentleman P JF-Expert Member Joined May 23, 2018 Posts 370 Reaction score 453 May 24, 2018 #2 Lugha hukua kama kitu kingine. Sio kila neno litapata fursa ya attention na hadi kuwekwa kwenye kamusi. Mjegeje ni Uume wa mwanaume. Asante.
Lugha hukua kama kitu kingine. Sio kila neno litapata fursa ya attention na hadi kuwekwa kwenye kamusi. Mjegeje ni Uume wa mwanaume. Asante.
mosabiy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 2,521 Reaction score 1,927 May 24, 2018 #3 Mjegeje ni BUNDUKI Ulikuwa ni kama msimu kipindi filamu za kimarekani zinatazamwa sana Tanzania.Mfano filamu za Rambo na Anord.
Mjegeje ni BUNDUKI Ulikuwa ni kama msimu kipindi filamu za kimarekani zinatazamwa sana Tanzania.Mfano filamu za Rambo na Anord.
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,445 Reaction score 205,933 May 24, 2018 #4 Gentleman P said: Lugha hukua kama kitu kingine. Sio kila neno litapata fursa ya attention na hadi kuwekwa kwenye kamusi. Mjegeje ni Uume wa mwanaume. Asante. Click to expand... [emoji23][emoji23]
Gentleman P said: Lugha hukua kama kitu kingine. Sio kila neno litapata fursa ya attention na hadi kuwekwa kwenye kamusi. Mjegeje ni Uume wa mwanaume. Asante. Click to expand... [emoji23][emoji23]