Mjengo kama huu ungekuwa Tanzania

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Mjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida [emoji28]ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856


8000tsh!(milioni mia mbili na nane laki 5 na Elfu sitini na nane)
 
mambo ya mchwa hawana hawa
 
Decatur kijijini sana mkuu! Sogea mjini kidogo uone bei zake! Hapo ni karibu na Chicago so check mjini na kuzunguka Chicago IL
 

Yes tofali likipoa wakati wa snow mzee kulipasha muishi ni mtihani umeme wake!
 
Fafanua uhusiano wa mbao na tofari kwenye baridi
 
Ujunzi Tanzania ni rahisi sana hasa ukiwa mafinga ni rahisi mno iyo nyumba ukiwa mafinga ukiwa na 45M unaijenga...
 
Decatur na Dar wapi town?

City za Marekani unalinganisha na za Marekani huwezi kulinganisha na za bongo mkuu, ni sawa na kulinganisha maembe na mananasi! Anyway maana yangu ni kwamba bei hiyo ni ndogo kwa sababu ni mji mdogo na hauna mauzo sana ya nyumba, nyumba kama hiyo ikiwa city kubwa kama Chicago ambapo ni 2 hours drive toka Decatur inakuwa na bei mara 3 hadi 5 ya bei hiyo, japo pia inategemea na mitaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…