Mjengo vyumba vinne ukiwa kwenye hatua za mwisho mwisho

EllySkyWilly

Software gani unayotumia ndugu yangu; hebu nidokeze kidogo hata kwa PM kwani niayotumia ya Total 3D Deluxe inanifanyia magumashi sana, na sitaki zile za maprofessionals zinazogharimu mamilioni.
 
Mkuu nimeomba kazi kwakoMkuu acha uchoyo ndugu yangu sisi sote ni watanzania. Mimi kiukweli kampuni yangu lazima nisaidie watu, yeyote yule mwenye ujuzi wowote mimi nitamwaajiri mistakes makes people improve. Lazima ukubali hilo mkuu. No any one can be perfect in the eyes of people. Kama tu JPM watu wana mcritisize mimi ni nani. All in all najua uwezo ninao. So I wish to become a very great person in the world.
 
Nice ila badili rangi hizo zinafanya nyumba kuwa dark
 
Mh, Hii rangi tukiishi humu, tutaishia kula karoti kama sungura,,
 
Mkuu hiyo rangi ni vipi mbona haina mvuto.....?!

Rangi imenifanya nisi enjoy kutazama hizo picha kwa raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…