Mjengo wa Ostadh Juma...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ana elimu ya darasa la saba tu, na huu ndo mjengo anaomiliki wenye thamani ya mamilion kadhaa, muite ostadh juma na musoma aka big boss wa mtanashati entertainment..

Attachments

  • 1393762979113.jpg
    45.6 KB · Views: 2,597
Jamaa ghafla kapata attention ya medias aseeee maana umu ndani daily anadondoshewa thread toka ishu ya PNC
 
Hongera zake......naona sasa watu wataanza kumchambua kimoja kimoja....mjengo tushauona.....haya tuwekee ndinga yake anayomiliki....
 
Tuwekee na zilizokamilika na magari yake,pia ns akaunti yake ina sh.ngapi????
 
Binamu naye mpana unataka hadi ujue account ina shi ngapi? Au unataka na password kabisa?
 
Mke wake baunsa ka lupita nyong'o, ukiingia kichwa kichwa binamu tunakupoteza..

Basi namfanyia mazoezi usijaliii halaf mi password tu yeye ostadh mi hapana nilimuota ananikimbiza usiku!!!!!!!!
 
Binamu na wewe ndumi la kuwili, si ulisemaga wewe mwanaume pesa sura mtavumiliana imekuwaje tena? Au yalikuwa maneno ya mkosaji?
 
Ana elimu ya darasa la saba tu, na huu ndo mjengo anaomiliki wenye thamani ya mamilion kadhaa, muite ostadh juma na musoma aka big boss wa mtanashati entertainment..

Hivi kuna mtu anajua historia ya huu kijana, atuweke hapa coz nimemsikia siku sana akiimbwa na wakat......
 
Binamu na wewe ndumi la kuwili, si ulisemaga wewe mwanaume pesa sura mtavumiliana imekuwaje tena? Au yalikuwa maneno ya mkosaji?

Mmmh unanisingiziaa ni kweli mwanaume hasifiwi sura lakin ya Ostadh imezidi banaa
 
Alikuwa ustazi wa msikitini kabisaaa! Maeneo ya ilala
 
Ana elimu ya darasa la saba tu, na huu ndo mjengo anaomiliki wenye thamani ya mamilion kadhaa, muite ostadh juma na musoma aka big boss wa mtanashati entertainment..

wewe jinga nikisikia unaliwa kunduz wala sintoshangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…