MJF aliyepo Msata

Nna wasiwasi na hayo mavazi yako! kanzu nyeusi! na kilemba chekundu! uko pub ya pembeni ya makaburini! mh! mwenzangu?! na sasa hivi uko lushoto! Ukitoka hapo nahisi utaenda pangani! Vipi unatumia ule usafiri wako wa mfagio?! 🙂...
 
Uje na yale matunda damu nilikuwa nakula sana ....yanapatikana sokoni mjini au Mlalo kule yapo kwa wingi....
Uyalete Mabibo City
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nna wasiwasi na hayo mavazi yako! kanzu nyeusi! na kilemba chekundu! uko pub ya pembeni ya makaburini! mh! mwenzangu?! na sasa hivi uko lushoto! Ukitoka hapo nahisi utaenda pangani! Vipi unatumia ule usafiri wako wa mfagio?! 🙂...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Tuwasiliane tasavali Leo sijaja Kwa kificho niko Kwenye hiki kipub karibu na makaburi... Nimekaa pekeyangu nakunywa Malta nimevaaa kanzu nyeusi kilemba chekundu na makubadhi ya kahawia
Hujamuona huyo aliko mbele yako mkono wa kuume amevaa kaniki kichwani kaweka usinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…