Najua hapo watu wameghafilika na kumtaja Allah mwenye kuleta hizo neema.Ngoja nije niwajengee msikiti mzuri wa kufanyia ibada.Pindi akitokea yoyote akaweka vikwazo subirini ukame na mito yote kukauka.
Mkuu misikiti ipo mitatu pale na ni mikubwa,
Kama una mihela peleka shule, au hospital au Benki ya Amana ( ili wakulima wakope bila riba). Kwa imani yako huduma zingine utapata mtihani wa imani kwa mola wako.
Mimi nina visenti tu vya kutosheleza kujenga huo msikiti.Ujenzi wa university lazima ruzuku ipatikane kutoka hazina kama hiyo inayokwenda makanisani.Ikiwa bado akina Kikwete hawawezi kufanya hivyo kwa kumuogopa Pengo basi akitokea Bakhresa na Sabodo wakajenga mimi naahidi kujenga huo msikiti ndani ya hiyo university.Well said Malila, ajenge second islamic university ili idadi iongezeke.
Mimi nina visenti tu vya kutosheleza kujenga huo msikiti.Ujenzi wa university lazima ruzuku ipatikane kutoka hazina kama hiyo inayokwenda makanisani.Ikiwa bado akina Kikwete hawawezi kufanya hivyo kwa kumuogopa Pengo basi akitokea Bakhresa na Sabodo wakajenga mimi naahidi kujenga huo msikiti ndani ya hiyo university.
Jengine hebu angalieni vizuri, mbona misikiti mitatu ni kidogo sana au wengi wenu mnakunywa bia za MALTA tu badala kuingia misikitini?.
Kwa jinsi mazingira yalivyokaa sijawahi kuskia mafuriko katika KIJIJI HICHO, drainage ni nzuri sana, mm ntaenda kuchukua kiwanja karibu kabisa na mto!Kaka MAFURIKO vipi?
Kwa jinsi mazingira yalivyokaa sijawahi kuskia mafuriko katika KIJIJI HICHO, drainage ni nzuri sana, mm ntaenda kuchukua kiwanja karibu kabisa na mto!
Hapo umesomeka twaja huko. kamwene.................
Nikipita january nitapiga picha nikutumie ni kamji kapya kenye fursa nyingi. Kumbuka kapo ktk highway ya kwenda zambia,Malawi,Congo na kwingineko.
Ahsante sana kwa hizi habari njema kabisa, watu wengi JF kazi yao kulalamika, kususa na kushadidia maandamano. Haya andamaneni kwenye fursa hizo.
Ahsante sana kwa hizi habari njema kabisa, watu wengi JF kazi yao kulalamika, kususa na kushadidia maandamano. Haya andamaneni kwenye fursa hizo.[/QUOTE
Sio lazima uchangie kila hoja
mkuu asante sana kwa taarifa njema,, mahala pazuri sana pale,, mi nishafika mpaka kule ndani MALOLO, WAZAGANZA, KIFIRA, CHEYU, ni kama 20 km kutokana hapo darajani,, kuna kilimo kizuri sana cha umwagiliaji wa vitunguu.. na infwakt vipo so cheap.. nina uhakika huo mradi wa umeme toka ilula utakapokamilika utafungua mianya ya biashara kwa upana zaidi..ngoja nizame chimbo kusaka capital nianze kuleta vitunguu dsm