Mji mzito huu part 2

I second you brother
Okay , sasahivi mbona jamaa yako hatoi Ngoma Kali tena, binafsi namkubali Sana jux , hila insonekana sio mtu WA kukaza Kwa kufanya lobbying hkuwashirikisha wasanii wakali WA nje
 
Wazazi tuwafundishe vijana maisha. Maisha kubana sio ndio uuze utu wako
 
We zero brain sahivi domo anapesa kuliko kwao na uyo na kwenu ata uuze tak** wew na uko wako ote hutokaa umufikiye domo
 
Huyu wa kwanza kulia, anaitwa Christopher, huwaga ni wa ajabu toka tupo Forodhani!
Alikuwa anatembea kike, anaringa, anabana sauti, analegeza midomo yu name it all!
Sema ndo tulikuwa hatujui kuwa wanaume kwa wanaume wanaweza kuwa wapenzi, ila kumuona kwenye huu uzi najikuta nakumbuka mpk sauti yake ilivokuwa!
Na alikuwa kiongozi mkubwa tu shuleni, sasa umkute anaamrisha assembly!

Mungu atunusuru!
 
Hao wote hapo wanageuzana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…