Mji mzito huu part 2

maisha mafupi sana,nimejifunza kitu.... "Love is every thing....hate is nothing" Tuishi kwa upendo🙏🏾
 
maisha mafupi sana,nimejifunza kitu.... "Love is every thing....hate is nothing" Tuishi kwa upendo🙏🏾
Safi kwa kujifunza mkuu.

Maisha ya kutangaza siri za watu ama maisha yao binafsi sio maisha mazuri,sio ujanja wala sio ustaarabu.

Kutangaza maisha ya watu binafsi ambayo wao hawajayaweka in public huko ni kutangaza aibu za watu lakini watu wanachukulia ile uhuru wa kuongea n.k

Hata kama watu wanafanya makosa katika maisha yao binafsi lakini haifai kuwatangaza katika jamii.

Sio poa wakuu
 
Asee sijawahi kumfuatilia marehemu nyuzi zake ila nmesoma comments za kwenye uzi fulani wa tanzia unaomhusu marehemu naona Kuna members wanataka kuvunja 'privacy' ya marehemu Sasa nikajiuliza members mbona wanataka wajue faragha ya marehemu, Sasa kumbe nmekutana na huu uzi Sasa ndo nmefahamu kwann baadhi ya members humu wanataka privacy ya marehemu waifahamu kumbe hizi threads hiz!!...
 
Mtoto wa kiume kukubali kulawitiwa haikubaliki, lazima utangazwe tu hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…