Mji mzito huu part 2


Ahahahaah mie tena , hakuna mtu anayeza zima huu mziki[emoji23], mi nawataja tu vzur , siogop mtu
 

Mie mbea shoga angu , hayo mengine unanizushia tu , umbea kweli nakubali, na huwa sizushi, uzuri huu uzi upo binamu , utakuja tu kufufuliwa baadae ukweli utajulikana

Jaman warumi nipo humu miaka na miaka na watu wananifuatilia sana habari zangu , siwez kuchafua Jina langu ambalo nimelitafuta kwa shida binamu

Halafu kila ninachoandika na watu wanajiongeza na kujumlisha dots, huwa sikurupuki ndugu yangu

Umbea is my profession shost, huwa sikosei na ndio maana siku zote nipo kileleni kama pierre, lol
 
Ni kweli lakini pia yasemwayo yapo, kwanini huo ushost asisemwe Kiba ila hao?

Binamu wengi wanaochonga ngenga itakua humu wameingia juzi , wanaonijua Toka kitambo watakua wanaelewa ninachopost, jamani ili Jina Mimi sijalipata kirahis rahis, nime hustle Toka enzi zile, Sasa Leo tu nianze kutunga umbea jamani , wanazengo mnanijua
 
Duh!!!
 
They say, "you aint real man until you get some haters."
 
Nakujua toka enzi zilee unaenda dirishani kwa diamond na wema kufuata umbea, enzi zile ulitafuta msiba wa kuambiana ulipo ukaupata Ukaenda kulala msibani ili upate umbea.... Kaka angu warumi we kiboko, yani hakuna kama wewe dadangu 😁
 
Nakujua toka enzi zilee unaenda dirishani kwa diamond na wema kufuata umbea, enzi zile ulitafuta msiba wa kuambiana ulipo ukaupata Ukaenda kulala msibani ili upate umbea.... Kaka angu warumi we kiboko, yani hakuna kama wewe dadangu [emoji16]
Ni kaka yako au dada yako.

kama ni kaka basi taifa lina hasara kubwa sana.
 
Jux kwao njaa tu dada ake anaitwa mwajuma kwao keko sasa uo ushua kautoa wapi?
 
Nakujua toka enzi zilee unaenda dirishani kwa diamond na wema kufuata umbea, enzi zile ulitafuta msiba wa kuambiana ulipo ukaupata Ukaenda kulala msibani ili upate umbea.... Kaka angu warumi we kiboko, yani hakuna kama wewe dadangu [emoji16]

Ahahahaah enzi za ngololo nakwambia pale sinza , Ila jamani na mie mbea, ningemwagiwa tindikali sijui ingekuaje[emoji23][emoji23]

Looh jaman warumi mie umbea nimeanza kitambo , Leo kidudu mtu kinakuja from no where nyoko nyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…