Mji mzito mnoo: Fununu: Mdada mtangazaji afukuzwa kazi,usagaji watajwa

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Yule mdada mwenye sura ya baba yake ila msambwanda wa kuvunja chaga anayetangaza kituo cha mzee machache inasemekena kafukuzwa kazi baada ya vimbwanga vyake vya karibuni kwenye social media ikiwemo kudai anafuga msitu wa ikweta huko chini na hataki kuupalilia,wafanyakazi wenzake walikuja juu na kukataa kufanya naye kazi ingawa boss wake wa kike anayedaiwa kuwaaaaa niii>>>>>scissors.... alimtetea kipenzi chake hicho ikashindikana jameni.
 
Alijisahau sana huyo Suzy, kwanza kujichekesha chekesha kutwa na kumkumbatia sam, anavaa kama anaenda disko looH1 wangempa hata onyo basi ila kumtimua jumla pole yake, na kuna yule vanila dama wa 5 select nae anavaa matambara tu muda wote halafu nyodo kibao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…