Mji unaoongoza kwa Kamari duniani (Kwa kuangalia mapato)

Mji unaoongoza kwa Kamari duniani (Kwa kuangalia mapato)

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Macau, moja kati ya jiji linalopatikana China, limevunja rekodi ya kuwa ni mji ambao unaongoza kwa kucheza Kamari kwa kuangalia kipato kinachopatikana kutokana na Kamari

Mwaka 2016, ilikadiriwa kipato kilichotokana na Kamari ilikuwa ni $27.8 bilion sawana na Tsh 64.2trillion , Kipato kinachpaticana Macau ni kikubwa kwa asilimia 33 ukilinganisha na mji wa Las Vegas wa Marekani.

NB: Hii imeangalia kipato kinachozalishwa kwa Kamari na sio idadi ya watu wanaocheza Kamari.

Mji huu umeingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha guinness
 
Unaweza kuwa uko sahihi. Kuna kipindi JB 007 aliwahi kuwa kuwa huko na mambo karibia yote yalikuwa ni Kamarin tupu. THUNDERBALL
 
Back
Top Bottom