Mji wa Berlin kuruhusu wanawake kuogelea vifua wazi katika mabwawa ya umma

Mji wa Berlin kuruhusu wanawake kuogelea vifua wazi katika mabwawa ya umma

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
12,207
Reaction score
26,521
Moja kwa moja.

Mamlaka ya mji wa Berlin nchini ujerumani imepitisha uamuzi huu baada ya mwanamke aliyeondolewa kwenye bwawa la kuogelea bila nguo kuchukua hatua za kisheria.

Mamlaka zinadai kuwa alikuwa muathiriwa wa ubaguzi na wageni wote wanaokwenda katika mabwawa hayo wanahaki ya kuogelea bila ya nguo ya juu.

IMG_20230311_114443.jpg


#UziTayari
 
Kesi za ubakaji zitakuwa nyingi sana.
Unabakaje na wakati hata binti akiona mnara uko 5G LTE anaelewa kinachoendelea... ni swala la mazungumzo tu... mnaelewana, unaenda kulowekeamo umo 🤣
 
Berlin sasa hivi kama Iswatini tu.
Moderator tunaruhusiwa kupost picha za mabinti wa Iswatini katika zile sherehe za mfalme Mswati kuchugua mke?
 
Back
Top Bottom