D David kulwa Member Joined Sep 18, 2016 Posts 29 Reaction score 2 Oct 9, 2016 #1 Jaman anaye jua history ya costantinople
Kokwa kavu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 220 Reaction score 41 Oct 10, 2016 #2 ulikua mji mkuu wa ufalme wa warumi wa mashariki uliobaki after wa magharibi kufa now days instanbul kabla Ottoman empire haijaja kuiangusha dola hii ya kirumi mwaka 1453 iliyotawala dunia kwa miaka 1500 toka 27BC kwa ujumla
ulikua mji mkuu wa ufalme wa warumi wa mashariki uliobaki after wa magharibi kufa now days instanbul kabla Ottoman empire haijaja kuiangusha dola hii ya kirumi mwaka 1453 iliyotawala dunia kwa miaka 1500 toka 27BC kwa ujumla