Mji wa Singida hivi karibuni umekuwa kwa kasi zaidi na fursa nyingi za kiuchumi kuongezeka

Edwin lameck

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
15
Reaction score
5
Habari wakuu,

Mji wa Singida hivi karibuni umekuwa mji unaokuwa kwa kasi zaidi na fursa nyingi za kiuchumi kuongezeka.

Karibuni wenyeji wa Singida na wanaoufahamu huu mji vizuri mtupe mengi zaidi kuhusu mji wa Singida, fursa za kibiashara na uchumi zilizopo, bei ya viwanja, tabia za wakazi, kuhusu ziwa kindai, ziwa Singidani na kadhalika.

Asanteni.
 
Furusa zipi? Naijua alzet na hapo ndo Singida wanapaswa kuweka mkazo wa kufa mtu, hakuna kitu kingine
 
Nachojua mimi singida kuna totozi kali inabidi uwekezaji uwe hasa kwa maeneo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…