Mjinga alinidanganya anaitwa Sarah kumbe ni Shoga

Nakuona nakuona!! [emoji119] Unakula tu ubuyu!!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika kabisa tena ubuyu mtamu wenye ladha harua na maluwa mithili ya tende mbivu iliyokoshwa, [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Me celew huyo mtu ana nn man maan naona kama anafurahia uwepo wao
Kwahiyo kutofurahia uwepo wao ndo kunafanya wasiwepo? Hivi huwa mpo serious kweli kwenye vita ya ushoga? Au mnajitekenya na kucheka wenyewe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuache maskhara mkuu hv we unafurah kuona mwanaume anamuinamisha mwanaume mwenzie???!
Kufurahi au kutofurahi hakubadilishi uhalisia kuwa wana inamishana, wao wenyewe kwa maamuzi na ridhaa yao binafsi bila kushurutishwa na yeyote, wakaona wafanye jambo hilo na wanatumia viungo vya miili yao, mie naanzaje kupata mushkeli au tatizo?

Kila mtu ana maisha yake binafsi, haijalishi ni yapi au ya aina gani, ili hali havunji kanuni, taratibu na sheria za nchi zilizowekwa.

Kuwa muelewa bas Mr, relaaaaaax.
 
Tuache maskhara mkuu hv we unafurah kuona mwanaume anamuinamisha mwanaume mwenzie???!

Kwan unamuona unakua umekaa wapi?? Unawachungulia au?? Mi sijawai waona!!...

Ila kama nawao wangeambia wachague nafikir wasingechagua kua hivo!!
Nisawa na kupata kilema utotoni au ukubwani hamna anaeomba!!

We mwenyewe unaeza kuta baada ya miaka kazaa ukawa bwabwa[emoji23][emoji23]

Hujafa hujaumbika !!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…