Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

ngota wa nzambe

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
121
Reaction score
136
Wakuu, salamu zenu!

Juzi natoka zangu Dodoma, Mdogo mdogo narudi zangu Dar! Basi nafika zangu pale Msolwa, mshenzi mmoja asiye na staha barabarani, anajifanya ana haraka ana overtake kijinga jinga! Tumekutana uso kwa pua, Ashukuriwe Mungu baba kwa kunitoa salama! Ila huyu mjinga nitadili naye sana tu naahidi hili


 
Pole sana mkuu, yeye yuko salama? Ajali kubwa sana.

IT huwa sio madereva, ni deiwaka waliochangamka.Barabarani wao ni mbio tu bila hesabu utadhani wanawahisha magazeti
 
Mungu wangu pole sana..kama una comprehensive relax
 

Hawa jamaa wa It huwa siwaelewagi kabisa maana wanakimbia isivyo kawaida,inabidi wahisika waangalie namna ya kuwadhibiti maana ni tatizo kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…