mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
Karibu kiepe yai brazzaa....Habari ya humu ndani wandugu, Kuna tabia moja ya hawa ndugu zetu wa huu mkoa wa mwendokasi wanoajiita wazawa au wandewa.
Inakera sana jambo dogo utasakia mjini kitambo wanajiona kila kitu wanajua wao kumbe bure kabisa .Mjini kitambo kwa kutegemea nyumba za urithi , mjini kitambo una nini cha maana wivu na ukabaji ndio mlichobakiwa nacho
Nawakisha kutoka uswazi ila soon nahama.
Kunichukulia hawawezi anatafutwa mtu dago zao zote wanaijua wenyewe platuni yangu si ya kitotoVipi simu imeshakwapuliwa nini post bado haijaisha hii
Ila munazingua mnaona dar kama jobeg bana mnapitilizaThat's a defence tactic so you don't check 'em. You know the saying; the loudest one in the room, is often the weakest.
OGs' stories are self explanatory.
Mwanaume hajisifiii ujinga ujingaSasa kama mtu yupo mjini kitambo asikwambie?!
Naww jisifie kijijini kitambo