Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Salaam jf
As usual wazazi mwenza wa mondi bin laden aka chibu dee aka simba baba Abdul,au baba latifa Leo wameendeleza drama na kutuacha wambea wa snap chat name IG hooii baada ya Mama watano kutuma ujumbe huu km dongo kwa mama wawili
Ambao ni kama dongo kwa hamisa vile

Sasa shogare kwani mbona unaanza ugomvi au ustrong woman ndio huu au ndo walipwa ili kuadd cash in your bank a account?

Hamisa sio mchache akajibu hivi

Ngoma draw ila hapo mobeto ataonekana mkorofi maana bibie bossylady kafuta fastaa baada ya kuona kachenjiwa na mashabiki

Ngoja tuendelee kufaidi uhondo na hivi hali zenyewe za kupambana nazo wallahi mjini patamu

My advice Zari na hamisa ninyi wazazi acheni utoto kama kiki mshapata inatosha msiwajengee chuki watoto wenu na kati yenu nyote mahawara hakuna mwenye ndoa

Jitambueni bwanaa mbea mimi mnanikwaza japo umbea mtamu
 
Huyu Zari angezaliwa huku kwetu Kwamtogole sipati picha anaonekana ni mchokonoko sana
Sana tu ni silent killer huyo Dada nna uhakika 60%anapita jf ni mshari mnoo alimtukana wema mpk kumuita mgumba sasa kakutana na jeuri mwenziwe mswahili wa mbagalaaa kwetu na mzazi km yeye tena kazaa na wenye nazo muache aoshe her own taste of arrogance
 
Wanawezana wenyewe, ukijumlisha na team. Madale mama weee
 
ooh am bosslady
i gt money moves
nmenunua gari mpya
laki2 stop following my team

bla blaaah....
huyu mama angefocus na wanae tu.. anatuchosha sasa mtu mzima akili kama za gigy[emoji23][emoji23].....

ndo mana kachapiwa ,amekosa hekima
Ni huko kuongea kiingereza lakini bi wa kiganda mswazi
 
ooh am bosslady
i gt money moves
nmenunua gari mpya
laki2 stop following my team

bla blaaah....
huyu mama angefocus na wanae tu.. anatuchosha sasa mtu mzima akili kama za gigy[emoji23][emoji23].....

ndo mana kachapiwa ,amekosa hekima
Ndo tatizo lake yy anahis money is everything's while not anaumia mnoo anajipa tu moyo amrudie tu diamond maana atapagawa

Anahitaji psychological treatment haraka sana
 
Zari nae mtu mzima ovyo..........km amemind her own bznes kinampwelepweta nn sasa.
Anadhani mondi atatoa laki 2..........mjinga ni wewe uliyekuta heleni madale ukamind lakn mwenzio mpk anakaribia kujifungua kunguni Wa kitandani kwako wakamkalili kuwa kuna mwingine si wewe tu.

Nahisi unauwalakini si bure dai mpka kumleta hamisa ndani ya familia yake pasina we kung'amua lelote.its seemz hujui mbichi na mbivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…