Hivi kwanini zari hataki kuishi madale?wakisema waolewe misa atafaidika sana, kwasababu yeye anaishi hapa.
zari hawezi kuishi madale hata sikumoja.
tatizo la bossfamous ana bla bla nyingi[emoji23][emoji23] ndo mana kagongewa
Uko vizuri mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Yani wanawake wengi wabongo wamejaa wivu , unafiki , roho mbaya ,umbea n'a uchonganishi this is the paining reality whether we like it or not. Mwanamke ni akili No wonder huwezi kumlinganisha Zari na Mobeto kama una akili timamu interms of brilliance in intellectual levels , creativity especially in business handling, branding and stuffs like that ,she runs one of the big business venture (company) which controlls Brooklyn city colleges in several states in South Africa as a CEO the position which was formerly held by her late husband Don Ivan SSemwanga. she has contributed to huge extent to mentor, beanding and making Platnumz to look as he looks today Diamond Platnumz ni the business brand kwa sasa so try to think leo anampa mswahili wa Mburahati majukumu hayo . Putting aside her weaknesses Zari is kind brilliant women that you can rarely see in our country Tanzania wengi ni upuuz na majungu tu
That's it is her weakness of course it hurts and it a terrible situation for any women try to imagine if this tragedy happened to you wouldn't you react at all? wengine tumekulia katika familia kama hizi so tunaelewa hali huwa inakuwaje it's really heartbreaking moment for anyone to be in.CEO mwenyewe amejilinganisha na laki mbili ndiyo tunaposhangaa
Wewe ile team Madale unaionaje?Hivi kwanini zari hataki kuishi madale?
mama angu sio mburula hadi kuwa wa bongo hii.
Hata mimi nimefurahi acha kwanza aipate, diamond alivyomwita hamisa bitch is dying for fame ilhali akijua ni mwanae kweli, mama watano aliwashwa na kuongea pumba nyingi kuhusu hamisa sasaiv ni full aibuMalipo ni hapa hapa wanawake tunajisahau sana zari alimtesa sana wema alimkashifu sana wema akaona kisa anapesa atamkamata diamond hakujua mwanaume nikama fagio [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] I swear am happy for this siku zote kunya anye kuku akinya bata kaharisha pia huyo mobeto yaonyesha kitandani yupo vizuri zari kitandani bado [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] but ajue mwanaume ni mwanaume usimthamini mwanaume siku yoyote anakubwaga
Yeye si ana uzungu na huwa hajali kitu! Aende aishi hapo akomae naoWewe ile team Madale unaionaje?
Amepata promotion ni personal assistant wa RC wa DarHivi warumi yuko wap siku hizi?
Hawa wanaosema sema haya[emoji115] [emoji115] [emoji115]kipindi hicho hawakuwa wanamiliki simu nahisi story ya wema na zari waliisoma kwenye magazeti ya shigongo maana hua hata siwaelewi kampeni wapige wenyewe then waje wamlau kua zari kamnyakua dai kwa wema, hatari.harafu hii story zari kumwacha mmewe hawaijui hua wanadantia tu.Hivi uwa mnasahau kuwa wema ndiye alimuacha mond, yeye mwenyewe tena wapambe mkafurahi baada ya kampeni ya bring back our wema.
Mond nadhani akaona mtu pekee ambaye akiwa naye atamuumiza wema na team yake ni kuwa na mtu atakayeonekana yuko juu zaidi ndipo akaja na zari.
Mara team wema mkabadirika na kuanza kumshambulua zari over kaiba mume wa mtu.
Nilikuwa najua warumi ni Ke...kumbe ndo yule mwili mpana[emoji15]Amepata promotion ni personal assistant wa RC wa Dar
Watu wana wivu na zari hakuna kingine hawana sababu za msingi yaani hapa wanafurahi bora katendwa, bora tukose wote binadamu tuna roho mbaya acha kabisa.Hajamgusa jamani, Hamisa amekazana kufollow watoto wake instagram na hizi account za watoto wake ni yeye ndio ana control na aliyezicreate. Sasa Hamisa ana washwa nini? si alee mtoto wake, watoto wa Zari wana muhusu nini sasa hivi? Ndio maana Dai alisema tabia ya Hamisa italeta bad blood between the children na Mama zao na yeye hataki hilo. Mbona watu mnamchukia Zari kiasi hiki?
Utasikia eti laana ya Ivan inamuandama.Hawa wanaosema sema haya[emoji115] [emoji115] [emoji115]kipindi hicho hawakuwa wanamiliki simu nahisi story ya wema na zari waliisoma kwenye magazeti ya shigongo maana hua hata siwaelewi kampeni wapige wenyewe then waje wamlau kua zari kamnyakua dai kwa wema, hatari.harafu hii story zari kumwacha mmewe hawaijui hua wanadantia tu.
Kweli au unatania mkuu?Amepata promotion ni personal assistant wa RC wa Dar
Hii imekaa poaMIMI NAMSHAURI ZARI AZAE NA ALLY KIBA..
AU MNAONAJE
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daah umenichekeshaWewe hata alivyokuwa anaeleza alimuomba daktari wake awepo wakati Hamisa anazaa, alilala na mwanae kama humpendi mama utafanya yote hayo?
Bibie ajue tu kuwa Ben ten amekutana na agemate wakiwa kwenye play ground.
Diamond kachupa mkojo kenda kanyaga mavi
Hamisa ni kijana jike cha kiswahili , ule weupu ndo unawababisha ila upstairs hamna kitu.
Dai aachane nae kabisa huyu mcharuko....atamuharibia kazi zake kama ambavyo tayari amefanya.
Haya alofanya mpaka sasa hayana lengo la kumjenga Daimond.
Anatakiwa ampige marufuku mabeto kukanyaga nyumbani kwake ..kabisa angalia mwisho atakuendes kwa sangoma akutie uchizi...hafai huyu....
Wife wa instagram na snap chat....Hamisa ni wife material