rangi tu zile akinyeshewa mvua kijuso utamkimbiaIla ukwl kahamisa kazuri bhana huwez kalinganisha na kibwego zari
Hajamgusa jamani, Hamisa amekazana kufollow watoto wake instagram na hizi account za watoto wake ni yeye ndio ana control na aliyezicreate. Sasa Hamisa ana washwa nini? si alee mtoto wake, watoto wa Zari wana muhusu nini sasa hivi? Ndio maana Dai alisema tabia ya Hamisa italeta bad blood between the children na Mama zao na yeye hataki hilo. Mbona watu mnamchukia Zari kiasi hiki?
wewe ni fukara tuu ...hakuna namna.algorithim MIMI SYO FUKARA MWENZAKO.
PESA SI WAKAMGOMBEE BAKHRESA? HV ZARI NA DIAMOND NANI MWENYE PESA NYING?
Superstar wa jf! [emoji12] [emoji12]Mkuu Hosee na wewe ni superstar wa jf unapata tabu gani!?
inaonekana anapnda sana papuchi zilizo pitisha vichwa kadhaa vya watt
Samahani mi mgeni hapa town, huyo anaesali kwa ajili ya mapacha kapewa mimba na nani ya hao pacha?Salaam jf
As usual wazazi mwenza wa mondi bin laden aka chibu dee aka simba baba Abdul,au baba latifa Leo wameendeleza drama na kutuacha wambea wa snap chat name IG hooii baada ya Mama watano kutuma ujumbe huu km dongo kwa mama wawiliView attachment 593147
Ambao ni kama dongo kwa hamisa vile
Sasa shogare kwani mbona unaanza ugomvi au ustrong woman ndio huu au ndo walipwa ili kuadd cash in your bank a account?
Hamisa sio mchache akajibu hiviView attachment 593160
Ngoma draw ila hapo mobeto ataonekana mkorofi maana bibie bossylady kafuta fastaa baada ya kuona kachenjiwa na mashabiki
Ngoja tuendelee kufaidi uhondo na hivi hali zenyewe za kupambana nazo wallahi mjini patamu
My advice Zari na hamisa ninyi wazazi acheni utoto kama kiki mshapata inatosha msiwajengee chuki watoto wenu na kati yenu nyote mahawara hakuna mwenye ndoa
Jitambueni bwanaa mbea mimi mnanikwaza japo umbea mtamu
Kwenye mashindano ya bibi bomba kuna mbibi alikua anapenda kutumia hilo nenoHivi jina la tukinao limepatikana vip jmn m lanifurahisha
Hujabalance story, hilo ni jibu baada ya Hamisa ku follow wanae
Wewe nae umekazana ni ndugu, kwani hizo account zimefunguliwa na hao akina Tiffa au Mama yao? Those accounts were Zari's ideas and ni yeye anazimanage. Kila mtu akae lane yake. Hao watoto wakikua wakubwa watajua wenyewe kama wanataka kufollow each other on instagram. Hamisa shida yake ni sponsorship, anataka na yeye wa kwake apate sponsorship kama akina Tiffa. What she does not know ni kwamba sponsorship za akina Tiffa was their mother's idea. Yes, Diamond alikua ana umaarufu lakini hakuwa na wazo hilo la kuwa brand watoto wao and make money. It was Zari's idea. Yeye Hamisa na yeye akune kichwa ajue atatafutaje za mwanae.Wale watoto 3 ni ndugu haiwezi futika sema ukweli mchungu. Wale wakubwa vyeupe dawa akiwafolo ntamshangaa
Wewe nae umekazana ni ndugu, kwani hizo account zimefunguliwa na hao akina Tiffa au Mama yao? Those accounts were Zari's ideas and ni yeye anazimanage. Kila mtu akae lane yake. Hao watoto wakikua wakubwa watajua wenyewe kama wanataka kufollow each other on instagram. Hamisa shida yake ni sponsorship, anataka na yeye wa kwake apate sponsorship kama akina Tiffa. What she does not know ni kwamba sponsorship za akina Tiffa was their mother's idea. Yes, Diamond alikua ana umaarufu lakini hakuwa na wazo hilo la kuwa brand watoto wao and make money. It was Zari's idea. Yeye Hamisa na yeye akune kichwa ajue atatafutaje za mwanae.
Kwa hiyo wasipo kua wana follow each other on instagram ina maanisha sio ndugu? I dont follow my brother on instagram, does that mean he is not my ndugu?Sijakazana ' ni ndugu' hizo nyingine ni blaa blaa tu. Wale ni ndugu sasa 'one father' different mothers hahaha